Quran Tukufu (Koran katika Kiswahili))!

Qurani (Quran) (Quran katika Kiswahili)Quran (kwa Kiarabu: ) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Quran inatazamiwa na Waislamu kama Neno la Allah (Mwenyezi Mungu). Lakini nje ya Quran hakuna uthibitisho wa fundisho hilo.