Tenzi za Rohoni!

Kitabu maarufu cha nyimbo za Injili chenye nyimbo zote zinazojulikana kama vile Yesu Kwetu ni Rafiki na Mungu ni Pendo. Kitabu hiki kina jumla ya nyimbo 137.